KISUNZU YP
Senior Member
- Jul 30, 2016
- 114
- 37
Wataalamu msaada wenu mimi tar 3 mwezi huu niliibiwa tablet nimebahatika kupata IMEI moja tu kati ya Mbili Je hiyo inaweza ikanisaidia kuipata pasipo nyingine ya pili?
Nilienda kuripoti police mpaka leo naambiwa bafo haijaonekanakwa maana haijawekwa laini, Je kukosa IMEI ya pili ni tatizo?
Kuna njia nyingine kama Applications au programme ya kuitrack hiyo simu yangu kwa kutumia IMEI hiyo pasipo kutegemea police