Youngstunna
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 261
- 295
Wakuu naombeni kujua ni smartphone gani nzuri naweza kupata kwa shilling laki tatu(300,000) iwe Techno, Huawei,au Samsung mpya lakini
Tecno camon cx wapi huko inauzwa laki 3?Huawei y6 II, y6 pro au tecno camon cx
Hizi zinapatikana wapi mkuu mbona madukani kwetu hakunaaa?oppo phones
china..muagizie mtu hutojuta.bei yake 300000 had 250000Hizi zinapatikana wapi mkuu mbona madukani kwetu hakunaaa?
Mhhh hizo za kuagiza watu ndo tunaibiwa kila siku bora niendelee kununua hizi hizi zilizopo madukani kwetuchina..muagizie mtu hutojuta.bei yake 300000 had 250000
!
!
Infinix note 3 hutajilaumu na hela yako.
!
!
Infinix note 3 hutajilaumu na hela yako.
Hii Simu ni Kwere hata mim naikubail kwa chaji ni kwikwi
Iphone 4s mkuu kama unahitaji nicheki
hivi ni kweli kuna wiziMhhh hizo za kuagiza watu ndo tunaibiwa kila siku bora niendelee kununua hizi hizi zilizopo madukani kwetu