Nina sim aina ya huawei ambayo inatumia lain ya tigo only kuna siku nilipeleka kwa fundi ili nipate huduma ya ku unlock ili itumie mitandao yote! Baada ya fundi uyo kushindwa kuitengeneza imekataa...
Habarini wakuu samahanini kuna tatizo linatokea kwenye simu yangu kuhusiana na picha ninazo save kwenye Gallery zinaharibika kama kuliwa na virus ivi yaani unaweza kukuta picha inaonekana nusu...
Wakuu hbr za mida, kuna mtu anaomba ushauri wa manunuzi kati ya hizi PC
hp probook 6555b
Internal storage 230gb
RAM 2GB
Tsh 180000/=
Acer
Internal storage 300gb
RAM 4GB
Tsh 300000/=
Wakuu kwema?
Naomba kuelimishwa kidogo. Katika gari unaweza kubadilisha mfumo wa umeme kama betri ilikuwa n50 unaweza kutumia n90 na katika diff au engine unaweza kubadilisha,hat katika computer...
Kama maada inavyosema mie nina simu yangu Huawei ascend G7 ilikua ikionyesha pindi nikidownload sijui niliigusa wapi mpaka sasa haionyeshi tena lakini downloads inafanya kama kawaida tatzo...
Nilikuwa ninalo hili folder la picture za baadhi ya simu zilizovuma miaka hiyo. kila nikizitazama ninafarijika na technolojia ya mobile phone ilipotoka hadi ilipofikia.
Nashindwa kuzi Upload...
Wadau naomba kuelekeza kwa anaejua ku hide IP adress nmekuwa nkidowloads softewares, series kwenye website za torrents kama Pirates bay, extratorrents ila kwa sasa siwez inanambia n hide Ip...
Habarini.....Wakuu nina TV star X inch 32,nina sabufa Pinetech,nina king'amuzi cha Dstv......sasa nataka niunganishe hivi vitu 3 kwa pamoja means niwe naona kwenye TV kwa king'amuzi changu na...
Baada ya kufanya utafiti wa kukufanya taarifa za Makampuni nchini, nimeamua kuwaletea orodha ya Makampuni nchini kwa gharama nafuu. Orodha Ina Makampuni 120000 Tanzania.
Orodha Ina:-
Jina la...
Wakuu,
Kwa wenye simu ya Nokia window phones...ni mwezi sasa siwezi kuangalia video iliyipostiwa instagram..maana ikifungua insta then post ikiwa ni video basi simu itajiondoa kwenye insta na...
Msaada wadau. Najaribu kufungua email address yangu lakini nashindwa kwa sababu sina simcard niliyoitumia kuregister kwenye hii email address. Nikisign in, nafika sehem natakiwa kuingiza baadhi ya...
Naombeni msaada. Nimefanya nimefanya factory reset kwenye simu bila kujua consequence zake. Kuna namba za phone book na few msg muhimu, ni namna gani naweza zipata?
Natanguliza shukrani zangu
Tatizo la samsung galaxy A5 kioo kubadilika rangi pindi unapokua umepress powerkey kuwasha mwanga na kuona rangi imekua kama kioo kimearibika. Kisha unapoweka lock tena na kutoa kioo kinarudi...
Habari wana JF nimeona leo bora niseek for help maana kila kukicha hapa TZ kuna ibuka aina lukuki ya vilainishi vya magari mpaka sie wenye mahitajio hayo tunachanganyikiwa.mimi huwaga natumiaga...
Habari za mda huu wakuu kuna vitu nilikua nahitaji kujifunza kupitia kwenu au hata kujifunza pia.Nahitaji kua design wa matangazo ya picha na video pia kwa yeyote mwenye msaada wa wapi kwa kuanzia...
Wataalamu naomba nisaidiwe nina memory card yangu yenye vitu vyangu vya muhimu sana kila nikijaribu kuvitoa au kuviedit au kufuta naletewa ujumbe huu(write protected) nifanyenyeje kui recover sd...