mr. loner
Senior Member
- Aug 1, 2014
- 168
- 229
Wakuu heri ya mwaka mpya. Naomba mnisaidie kwa ambao walishanunua vitu online kupitia hiyo ebay, vinachukua mda kufika tz? Inatumwa moja kwa kupitia Posta ama inatumwa kama parcel? Niliagiza sandal November last year ila kila nikienda Posta sikuti chochote so kwa mwenye uzoefu anisaidie ama kama ndio nshaliwa kekundu nijue tu maana daah