Mafunzo ya Udereva wa Magari wa Kuweza Kupata Leseni Class "C" yanachukua Mda gani?

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Wakuu nataka Nimpeleke dogo kwenye Driving je Kwa Vyuo kama VETA-Chang'ombe au NIT itamchukua Mda gani Kuhitimu?

Wapi bora kati ya NIT na VETA?

Je Ada bei gani kwa Course hizo za Driving za Magari Madogo?
 
Kozi ni wiki mbili, ada ni sh 210 000 mpaka sh 350 000 kutegemeana na aina ya daraja C:C, C1, C2,& C3, (V.I.P, P.S.V....)
Kama utaratibu umebadilika, wajuvi watajuza zaidi.
 
Kote kupo vizuri ..NIT na VETA..., ila nasikia NIT ndio wako njema zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom