Msaada Tafadhali tecno w5 lite Imezingua

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
8,227
8,000
!
!
Ni lisaa la pili hili imeandika tu tecno halafu hakuna kinachoendelea. Nimefungua nyuma nitoe betri na kwenyewe kumefungwa betri kulitoa haiwezekani.
Naambatanisha na picha nikitumaini nitasaidiwa
 
Attachments

  • IMG_20170509_005855.jpg
    IMG_20170509_005855.jpg
    105 KB · Views: 128
!
!
Naweza nikafanya mwenyewe au hadi fundi akanipige twenty yangu?
Mkuu shikilia power button pamoja na volume up mpaka izime kisha itawaka tena.. Achia power endelea kushika volume up ita boot kwenye recovery.. Hapo factory reset leta mrejesho...

Ukiona umeshikilia zaidi ya dakika moja na haijazima basi hapo power botton yako sio mzima
 
Imekubali mkuu.... Shukrani sana
 
!
!
Ni lisaa la pili hili imeandika tu tecno halafu hakuna kinachoendelea. Nimefungua nyuma nitoe betri na kwenyewe kumefungwa betri kulitoa haiwezekani.
Naambatanisha na picha nikitumaini nitasaidiwa
Mm nina w4 ilizima chag nikiwa nipo mobdro naangalia mpira game ya alsenal vs tot .nikaichag lakin chaajabu nikiiwasha ikawa inaishia ktk hapo tuu ndipo nikai reboot kwakubonyeza hivyo chakuzimia na kupandishia saut then nikai reset ikafuta kila kitu ndipo ilipo waka lakin pia ikiwaka inaishia Wifi inataka passwod ili ili uingize gmail acount yako kinyume na hapo hutumii labda kama kuna njia nyingine labda.simu zenye betr ambayo ni built in nouma
 
Nimefanya kama wadau walivyonielekeza imekuwa poa, sasa sijui litajirudia hili tatizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom