goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 967
- 1,207
Habari wanajukwaa, narudi tena kwa mara nyingine kuomba msaada kwenu experts wa haya mambo.
Simu yangu aina ya Huawei Y520 inagoma kabisa kuinstall baadhi ya application kama opera na wakati huohuo application nyingine zinakubali. Nikiangalia space ipo ya kutosha tu.
Sasa sijui tatizo ni nini hapa maana mpaka nimefanya hard reset lakin tatizo haliishi. Kudownload inakubali, ikifika kwenye installation inaandka tu app not installed bila hata kusuggest tatizo ni nini.
Ushauri wenu tafadhari