MSAADA wa Serial Key za game la football manager 2017

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,659
2,822
wakuu habari za wakati..kama kichwa cha thread hapo juu kisemavyo..naomba mwenye serial key ya game la footbal manager mwaka 2017 anisaidie.au anielekeze jinsi ya kuzipata online kwa free.

Natanguliza shukrani kwa msaada nitakao upata
 
huwezi chakachua software za kisasa na serial key, hilo game crack yake haijatoka, kuna crack za majaribio, kwangu cpu yake wameshaicrack nalicheza cheza hapa sema bado halijawa stable na kuna feature hazipatikani.

cpu yako ni ipi? nitajie jina lake nikuangalizie kama ina crack, kuangalia cpu nenda mycomputer halafu right click then properties.
 
Uko ulikolitoa ndo unaweza kupata crack. Fatilua vizuri ulikolitoa.
 
huwezi chakachua software za kisasa na serial key, hilo game crack yake haijatoka, kuna crack za majaribio, kwangu cpu yake wameshaicrack nalicheza cheza hapa sema bado halijawa stable na kuna feature hazipatikani.

cpu yako ni ipi? nitajie jina lake nikuangalizie kama ina crack, kuangalia cpu nenda mycomputer halafu right click then properties.
ok CPU hapa Imeandikwa T9400 @ 2.53GHz
 
huwezi chakachua software za kisasa na serial key, hilo game crack yake haijatoka, kuna crack za majaribio, kwangu cpu yake wameshaicrack nalicheza cheza hapa sema bado halijawa stable na kuna feature hazipatikani.

cpu yako ni ipi? nitajie jina lake nikuangalizie kama ina crack, kuangalia cpu nenda mycomputer halafu right click then properties.
mkuu ni imi hapa nahitaji kupitia uzi huu
 
Back
Top Bottom