Anaejua matatizo ya bootlooping kwa LG please anisaidie

Anaejua matatizo ya bootlooping kwa LG please anisaidie

kancarl

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
1,357
Reaction score
804
Hi! wana jamvi
Anaejua mataizo ya bootlooping kwa lg please
Maaana na mpango wa kununua v10 ila sikia ina fanya bootlooping
Kwa watumiaje wa v10 je mmexperience hii kitu?
 
G4 ndio ilikua na scandal ya bootloop

Sijajua kama na v10 ina hiyo shida
 
Back
Top Bottom