Jinsi ya Kusikiliza redio kwa njia ya mtandao (Internet)

Fabian the Jr

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
756
743
Salaam, Wadau kuna radio moja inapatikana Dar es salaam inaitwa Praise power radio, nafikiri haina coverge kwa mikoa ya nje ya dar es salaam, Nauliza ni kwa namna gani ninaweza kupata access ya kusikiliza redio hii na nyingine kwa njia ya mtandao maana kwa sasa nimehama niko nje ya mkoa huo.

Asanteni
 
Angalia app ya tune in, utakuta radio mbalimbali na kuna sehemu search utaipata tu
 
Hiyo tune in ninayo but inaonekana inanipa list ya local stations tu, Yaani nikisearch station ambayo haina coverage hapa inagoma
 
Salaam, Wadau kuna radio moja inapatikana Dar es salaam inaitwa Praise power radio, nafikiri haina coverge kwa mikoa ya nje ya dar es salaam, Nauliza ni kwa namna gani ninaweza kupata access ya kusikiliza redio hii na nyingine kwa njia ya mtandao maana kwa sasa nimehama niko nje ya mkoa huo.

Asanteni
Angalia post #4 ujaribu mkuu.
 
Back
Top Bottom