Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

With over 1.5 million units sold worldwide, this is the best solution to watch your favourite movies and shows for free! We all know how frustrating overpriced cable bills and subscription...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nashida kuna mtu yupo Uganda anataka anitumie mzigo amesema nimpe address yangu na kitambulisho na maelezo yanayoweza thibisha kuhusu mm ili niweze pata uwo mzigo na mm sina vielelezo ivyo...
0 Reactions
3 Replies
569 Views
mambo vp wakuu.. nina ps2 na monitor ya komyuta flat screen...je nini kinahitajika ili kuunganisha ps2 na monitor...ili niweze kucheza gemu kupitia kwenye monitor,...natanguliza shukrani
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Jipatie kitabu kwa tsh.3000(pdf),kitakachokupa muuongozo jinsi ya kutengeneza tovuti kwa kutumia wordpress .Baada ya kukisoma utaweza kutengeneza tovuti yako wewe mwenyewe bila ya kumlipa mtu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa wale wataalam wa IT hebu nielewesheni kuhusu sababu kubwa inayofanya kupotea kwa signal na hasa kwa hizi TV zinazotumia Satellite kama vile DSTV wakati huu wa mvua.Kinachotokea ni nini hasa...
0 Reactions
1 Replies
514 Views
Nilinunua Bundle la Smart la Mwez (elfu 20 unlimited) kwa Matumain kwamba nafanya Cost Reduction lakin Ndio Jipu kuliko inafungua website zote lakin si Facebook sasa Najiuliza ni kwamba Server za...
0 Reactions
3 Replies
859 Views
Simu yangu ni Huawei Y625 inatatizo la kujizima yenyewe wakati natumia inaandika betry high temperature hafu inajizima tatizo hili limeanza leo asubuhi Naombeni msaada wenu[emoji122] nifanyeje...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Habari zenu ndugu, Naomba mwenye OS ya Zorin Anisaidie, version yeyote ile..
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar wandugu, simu yng inatatizo hainipi notification ya kuonyesha kwamba charge inaingia, sio indicator ya LED light wala alama ile ya zigzag inaingia kimyakimya tatizo hilo limeanza asubuh hii...
2 Reactions
0 Replies
576 Views
Tatizo lake haisupport 3G wala 4G na network mode haipo kabisa kwenye mobile data , naombeni knowledge yenu wakuu .
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Simu yangu nikiweka charge charge inapungua.
0 Reactions
1 Replies
960 Views
Mko poa,,, Nimeroot simu yangu sasa naitaji best custom rom ili niweze kuiupdate simu yangu Kama wajua best iyo best custom rom wawez nitonya apa Simu yangu ni LENOVO VIBE 7010a48 Android lolpop 5.1
1 Reactions
2 Replies
767 Views
Habari wajameni Mimi nina shida kwenye paypal nikisign up nikiweka email na pasword nikashacomfirm nikiwa hatua ya kujaza information lazima izingue tu Ninajaza vizuri tu nikibonyeza kitufe cha...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu mwenzenu nikiingia aliexpress nikitaka kununua kitu kwenye payment method sioni paypal naona tu wananiambia niingize namba ya kadi yangu ya benki Mara wananiletea alipay halafu wananiletea...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa unaejua kutumia software ya AutoCad au hujui kutumia ila unaijua ni nini karibu utuelezee applications za autocad software.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaaafa wana JF mnaweza nisaidia link nzur ya kupakua furious8 yenye full hd kiurahis
0 Reactions
13 Replies
2K Views
nimejaribu kuroot tecno w4 kwa kutumia applivation takribani zote lakini matokeo yake ni root failed. kwa yeyote anayejua kuroot tecno w4 msaada tafadhali.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari wana jamvi!! kuna acount ya mtu instagram imekua hacked,imebadilishwa email iliyotumika kufungulia acount(linked email) na password pia imebadilishwa,user name ndo halijabadilishwa...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Habari wakuu. Poleni Kwa majukumu. Naomba Msaada kutoa aina hii ya Virus IMG001 Ananisumbua sana kwenye windows 7 PC na nimejaribu Kwa Avast n Smadav nimeshindwa nikasoma internet nikapewa maelezo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za muda wapendwa kumputer yangu haidisplay option ya wifi hata ninapowasha wifi ila mwanzoni nilikuwa natumia kama kawaida wireless naomba msaada kwa wataalam.
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Back
Top Bottom