Prince_mandela
Senior Member
- Jul 29, 2016
- 167
- 117
Habarini wa kuu wa jamvi natatizo mm ni wakala wa halotel tatizo lang ni kwamba laini yangu ya halotel ina nipaga wakati mgu sana hii ya kusajilia line kwenye kupandisha network I mean 3G ama HSPA ata E huwa haisomi ata nikiwasha data na kuzima ni kiset access point vizur bdo tatizo cku nyingine inakubaligi nikichezea sana ila toka juzi naona inanizid uwezo maana haijawai nizingua 3 days mfululizo kama sasa tafadhali ujuzi wenu wakuu naomba msaada maana ka ni hao halotel nimesha wapigia simu nimechoka nakama ni ofisi zao niliko ipo ila haileweki kwakwel wapo na simu tu hawana hata vitendea kaz vingine nipo ifakara naombine mnisaidie
.
.