HP envy 17.3 inch. Natafuta kioo chake.

siya one

Member
Sep 22, 2015
18
2
Naombeni msaada ndugu zangu mahara naweza kukipata hicho kioo, kariakoo nimetafuta sijapata..
8bf6227e7bbee383d4115b28ea538cbc.jpg
20170507_114352.jpg
IMG-20170507-WA0014.jpg
20170507_114446.jpg
 
umetafuta kariakoo ipi? machinga complex umeenda? huwa vioo vya laptop havisumbui kupatikana ila tegemea kioo kibaya tu, chenye rangi zisizovutia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom