MSAADA:siwezi kubadili storage

hata simu yangu tecno w2 haina hiyo option nashindwa kuzihamisha App toka internal storage kwenda sd card.kama mwenye utaalamu atuelekeze tafadhali.
 
hata simu yangu tecno w2 haina hiyo option nashindwa kuzihamisha App toka internal storage kwenda sd card.kama mwenye utaalamu atuelekeze tafadhali.
Kwenye simu kuna kitu kinaitwa operating system mfano iyo adroide kazi yake niku manage memory kwenye simu ikiwa adroide yako niyakizaman jua kabisa app imeshapngiwa ukubwa wake kwenye memory pia aina uwezo wa kuinstall izo app kwny external memory apo cha msingi jaribu ku upgrade iyo operating system kama update ipo au uroot iyo simu
 
Habari shedede unapo sema kubadili una maana gani..? unataka kubadisha uwe una hifadhi app zako kwenye memory card au..?
ndio mkuu nataka niki-download apps,music,videoz ziwe installed kwenye sd card nasio kwenye simu iyo ni kwasababu simu ina-space(storage)ndogo yenye ambayo haitoshi kwa matumizi yangu mkuu

msaada tafadhari
 
Sasa memory card ya nini wakati...
Kuna Google drive na clouds kibao
mkuu ni kweli kabisa ukisemacho lkn tatizo linakuja pale nnapotaka ku-store files nilazima nitumie mb's na ambazo pengine zitatumia gb kalibia 35 ku-store vitu vyote vya muhimu kwenye simu yangu ukizingatia kuwa "google drive" wametoa gb 15 free online storage ambazo hazinitoshi

kama kuna-arltenative way nisaidie mkuu
 
Back
Top Bottom