Jinsi ya Kutumia Kompyuta Kupitia Smartphone Yako

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
355
276
Habari wana JF, Karibuni tena kwa mara nyingine kwenye makala nyingine mpya kutoka Tanzania Tech, Leo tutaenda kujifunza njia hii ya kutumia kompyuta kwenye smartphone yako ya Android au iOS. Njia hii ni rahisi lakini kuna baadhi ya vitu lazima utambue kwanza kabla ya kuanza.

Ni muhimu kujua kuwa ili uweze kufanikisha hatua hizi ni lazima uwe unatumia programu ya Google Chrome kwenye kompyuta yako, kama bado huna programu hiyo basi unaweza kutafuta kwenye Google kisha download na install kwenye Kompyuta yako. Vilevile unatakiwa kuwa na Google Chrome kwenye simu yako, kama bado huna kwenye simu yako. Kama tarari unavyo vitu vyote hivi basi moja kwa moja twende tukangalie njia hii rahisi.

LINK MAALUM
1. Download Chrome Remote Desktop Hapa Chrome Remote Desktop
2. Download App kwaajili ya Android Hapa Chrome Remote Desktop - Android Apps on Google Play
3. Download App kwaajili ya iOS Hapa Chrome Remote Desktop dans l’App Store
4. Kujifunza Zaidi Kuhusu Makala Hii Hapa Jinsi ya Kutumia Kompyuta Yako Kupitia Simu Yako (Smartphone)
KAMA KUNA MAHALI UTAKUWA UMEKWAMA USISITE KUTUANDIKIA KUPITIA HAPO CHINI KWENYE MAONI PIA KWA [HASHTAG]#MAUJANJA[/HASHTAG] ZAIDI LIKE NA SUBSCRIBE PIA TEMBELEA TANZANIA TECH KUJIFUNZA ZAIDI.
 
Ni lazima internet connection itumike wakat wote??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom