Dan Marconi
Member
- Oct 29, 2016
- 51
- 36
Wakuu Nimeshafanikisha kupata verification code na kulink kadi je ni lini paypal watarefund hela yangu waliokata almost Dollar 10 nilijaribu zaidi ya mara tano wakuu hvo kila nilipojaribu walikata
Nime edit kidogoHujaeleweka uzuri
Wiki zaidi ya tatu bank ni Equity1.Akaunti yako ni bank gani ?
2.Ni muda umepita tangu wakate hiyo hela ?
Wiki zaidi ya tatu bank ni Equity
Kaka unajua mimi nijaribu zaidi mara moja ndio mana wamekata hio pesaNilitumia equity kwenye paypal na walikata kama $2 -$3 haikuwa kubwa kama uliyokatwa wewe labda ndio charge za siku hizi.Screenshots hizo transaction za paypal print nenda nazo bank uwaonyeshe.Nimewahi kununua kitu ebay lakini hakikufika seller akani-refund ile hela lakini haikuingia kwenye account yangu nilivyowaonyesha bank ndio wakairudisha
Moja ya policy yao ni kuwa wataka 1.5 us dollars after verification watairudisha hio helaMoney refund sio rahisi hivi kama unavyofikilia huwa wanavigezo vingi Sana mpaka wakurefund