Wakuu, nna vyeti vyangu vmescaniwa katika mfumo wa pichs, ila nataka kuvbadili viwe katika mfumo wa pdf ili nivtume sehemu, na kwa bahati mbaya viko mbali inamaana siwezi kuviscan upya. Nifanyeje hapa wakuu.
Njia za kubadirisha ni nyingi, lakini rahisi zaidi fungua document yako nenda kwenye File-print kisha mwenye printer chafua pdf printer yeyote, kisha itakupa maelekezo ya kuhifadhi(save) sehemu unayoitaka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.