Jinsi ya kuflash alcatel PIXI 4

Cooln

Member
Dec 18, 2016
13
3
Jamani naombaeni mnisaidie namna ya kuflash simu hii kwani nikibonyeza batan ya power na ya kupandishia sauti inanilete recovery na boot lakini nikibonyeza recovery inaandika no command msaada wenu jamanii
 
Jaribu factory mode ya power na volume down kama ukiona sehemu imeandikwa emmc shusha hapo halafu bonyeza power button, kama haina hiyo emmc jaribu kwa miracle crack software.
 
ikishaleta command subir kama sekunde 10 kisha kwa pamoja bonyeza volume up na power key italeta menu ya ku wipe ILA KUMBUKA SIMU HIZO ZINA ANDROID 6 hvyo zitakupeleka kwenye google account uiweke uliyokuwa unaitumia
 
Jaribu factory mode ya power na volume down kama ukiona sehemu imeandikwa emmc shusha hapo halafu bonyeza power button, kama haina hiyo emmc jaribu kwa miracle crack software.
hii miracle software unatumia bila ya kuwa na box?!
 
ikikuandikia 'no command' press power button kama sekunde moja then bila kuachia bonyeza power up
 
Back
Top Bottom