Kujaribu Tovuti Mpya Kipengele cha Afya

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
355
276
Habari wana JF, Mimi naitwa Amani natokea Forum ya Teknolojia lakini leo nakuja kwenu kwa heshima na taathima nikiwa naomba msaada kwenu madaktari pamoja na watu wengine wote wenye mapenzi na ukurasa hizi za Afya pamoja na makala mbalimbali za Afya.

Kwa kipindi kirefu mimi na wenzangu tumekuwa tukifanyia kazi tovuti yenye uwezo wa kuruhusu mtu mmoja mmoja kuweka makala mbalimbali kwa urahisi kwa kujisajili kwa kutumia mitandao ya kijamii. mengi zaidi tunaweza kujadiliana kupitia group la whatsapp ambalo unaweza kujiunga kwa kutumia LINK HII HAPA .

Nikija kwa lengo la kuandika makala hii nilikua naomba kwa wenye muda kujaribu kujiunga na kuandika makala mbalimbali za Afya na kujaribu kutumia makala hiyo ambayo itakwepo kwenye tovuti hiyo mara baada ya kuhakikiwa na admin wetu unaweza kujiunga na tovuti hiyo pamoja na kuijaribu kupitia HAPA, Nategemea ushirikiano kutoka kwenu kwa wale watakao kwama naomba uandike maoni yako hapo chini nasi tutakujibu moja kwa moja.

Asanteni kwa muda wenu na nashukuru kwa ushirikiano wenu,
Amani Joseph
From Tanzania Tech
 
Back
Top Bottom