Msaada wakuu, nimeshindwa kuunga data line ya Halotel

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
Nimenunua simu Samsung galaxy prime. Nina line ya halotel nataka kuunga data nimeshindwa . nimepiga customer care hawapokei. Wanajamvi mnaojua procedures msaada plse.
 
  1. Go to Settings
  2. Tap More Networks
  3. Tap Mobile Networks
  4. Tap Access Point Names
  5. Use the following Settings:
    Kwenye Name ingiza Halotel internet
    Kwenye APN ingiza internet kisha save
Kisha hakikisha uliyo ingiza ndio inakuwa active kwa kuwekea tick kwa pembeni au kuna wakati dot ya kijani... Mchezo umeisha
 
Back
Top Bottom