Playboy JF-Expert Member Aug 11, 2011 1,170 940 Jun 1, 2017 #1 Wakuu nina hiyo pc naitaji kuweka window 10 je itakubali, na itakubali wapi naweza download window, naombeni na link.
Wakuu nina hiyo pc naitaji kuweka window 10 je itakubali, na itakubali wapi naweza download window, naombeni na link.
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Mar 25, 2016 10,518 13,140 Jun 1, 2017 #2 Hiyo inakubari ila ngoja wenye link watakuwekea.
Playboy JF-Expert Member Aug 11, 2011 1,170 940 Jun 3, 2017 Thread starter #4 Jamani bado sijapata msaada
T tyson.N Member Aug 12, 2012 23 9 Jun 3, 2017 #6 ingia Playboy said: Jamani bado sijapata msaada Click to expand... ingia hapa uchague unayoitaka Index of /Windows 10/
ingia Playboy said: Jamani bado sijapata msaada Click to expand... ingia hapa uchague unayoitaka Index of /Windows 10/
Playboy JF-Expert Member Aug 11, 2011 1,170 940 Jun 4, 2017 Thread starter #7 tyson.N said: ingia ingia hapa uchague unayoitaka Index of /Windows 10/ Click to expand... Asante mkuu nilifanikiwa now nateleza tu shukrani sana.
tyson.N said: ingia ingia hapa uchague unayoitaka Index of /Windows 10/ Click to expand... Asante mkuu nilifanikiwa now nateleza tu shukrani sana.
Donnie Charlie JF-Expert Member Sep 16, 2009 16,570 18,592 Jun 4, 2017 #8 au www.bitcq.com andika 'windows 10' kisha search...