abdulrahim
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 408
- 286
Wakuu hali zenu!!!
Kwakweli nimekuwa nikitumia mitandao ya kampuni tofauti tofauti hasa kwenye maswala ya Internet lakini nimeonja radha ya TTCL 4G kwa DSM na ZNZ Mashallah jamaa wako vizuri saana kwakweli.
Naweza kustream video vyema kabisaa na hata zile short films za social network kama Instagram vids yaani zina flow kwa haraka zaidi.
Kwa hakika hawa jamaa wamejipanga vyema!!
Hongera kwao. Wajitahidi kasi hii iwe endelevu zaidi.