wakuu
jana na leo nilipata namba za udhibitishio ili kuzitumia kufungua account ya whatsapp wakati mimi sikumbuki kama nilishawahi kutuma maombi ya kujiunga na whatsapp. simu yangu ni techo ambayo hata haisapoti internet, sasa najiuliza itakuwa ni makosa ya whatsapp wenyewe au kuna ktu anataka kunifanya niende na dunia ya kisasa maana tangu mtandao huu uje sujawahi utumia hata maramoja