Mirascreen HDMI dongle

Mirascreen HDMI dongle

che wa Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
277
Reaction score
71
Wadau nimeshawishika kununua hiki kifaa kwa ajili ya kuweza kuunganisha simu yangu na TV but nimeona ni vyema kuja kuomba msaada wa ushauri na mawazo kwanza kwenu haswa kwa wenye ujuzi nacho na walio wahi kukutumia ili watujuze ubora wake na mapungufu yake pia, na kama kina mbadala bora kabisa. Nimekiona jumia.com asanteni na karibuni kwa mawazo
 
1472032469872.jpg
1472032481742.jpg
 
Jibu la hapa litaniaadia Na Mimi.
Wadau nimeshawishika kununua hiki kifaa kwa ajili ya kuweza kuunganisha simu yangu na TV but nimeona ni vyema kuja kuomba msaada wa ushauri na mawazo kwanza kwenu haswa kwa wenye ujuzi nacho na walio wahi kukutumia ili watujuze ubora wake na mapungufu yake pia, na kama kina mbadala bora kabisa. Nimekiona jumia.com asanteni na karibuni kwa mawazo
 
Hii kwa maana nyingine unakuwa na uwezo wa kuona picha na video zilizopo kwenye simu moja kwa moja kwenye tv. Ila kwa kurahisisha mambo ni kama unadisplay chochote ulichonacho kwenye simu moja kwa moja kwenye tv yako.
 
Na mi nakitafuta. Kama ni dar niambie kinapatikana duka gani au mawasiliano yao. Maana hata mi tv yangu sony bravia haina built in wi fi ambapo ingekuwa rahis kufanya mirroring
 
kinapatikana www.jumia.com zamani ni kaymu.co.tz, wauzaji wanajiita wishwish
 
mkuu cha muhimu zaidi hapo ni kujua hio dongle inatumia technology gani, zipo technology nyingi sana kama DLNA, miracast, Widi, etc

halafu ukishajua kagua na kifaa chako kama simu au tablet au laptop kinatumia technology gani nacho,

simu yoyote yenye wifi hukubali hio DLNA lakini weakness yake ni kwamba inaplay tu media vitu kama video, picha na miziki. nzuri zaidi ni miracast hii utaplay chochote iwe games, kustream online etc ila nayo kama unastream vitu vya high quality kama video za 4k au full hd inaweza kunata nata.

kujua dongle ina technology zipi angalia tu kwenye box lake watakuwa wameandika na kwa kifaa chako kama simu unaweza google online au nenda setting kwenye wireless and network utaikuta.

pia kuna tv zina built in wifi hizi hazihitaji hio dongle.

bei ni sh ngapi?
 
Asante mkuu kwa huu ushauri ngoja niufanyie kazi. Bei ni 66000 kwa hao wishwish
 
Kukufikishia dar ni tsh 69000. Nimeki order kimoja jana. Ila kwa vile unalipa wakati unapokea mzigo sijui kama watakuwa serious maana wabongo hatujabahatika kuaminika vzuri.
 
Ukikipata mkuu utupe mrejesho wake
 
Ukikipata mkuu utupe mrejesho wake
Mirascreen ilishanifikia tokea Jumia wiki moja tangu niagize. Naona wako serious. Na uzuri unalipa wakat wa makabidhiano. Unaletewa hadi mtaan kwako au nearby known place. Inafanya kazi iliyokusudiwa vizuri tu. asante sana Jumia.com
 
Attachments

  • 20160903_160343.jpg
    20160903_160343.jpg
    328.2 KB · Views: 67
  • 20160903_160146.jpg
    20160903_160146.jpg
    96.8 KB · Views: 67
Mirascreen ilishanifikia tokea Jumia wiki moja tangu niagize. Naona wako serious. Na uzuri unalipa wakat wa makabidhiano. Unaletewa hadi mtaan kwako au nearby known place. Inafanya kazi iliyokusudiwa vizuri tu. asante sana Jumia.com
inayo miracast?
 
inayo miracast?
Hapo sijui miracast ndo nini. Mi najua kununua na kutumia tu. Hiki kifaa mirascreen naona kaz kubwa nikufanya kazi ya wi fi kama hiv bravia yangu haina built in wi fi ili kukamilisha screen mirroring. Hakina mbwembwe ni kuchomeka kwenye hdmi ya tv na usb kwa kucharge ukakiwasha ukakisearch kwenye wi fi ya simu na kuwasha screen mirroring. Bas kila kinachoonekana kwenye screen ya simu ndo pia kiko kwa tv na sauti yake kama ni media. Naona picha na video zinatoka vzur sana. hapa natafuta jins gan sauti ihamie kwenye hometheatre ya sony mana sehem out toka tv ni ya headphones tu.
 
hiyo hiiyo sehemu ya headphone ndio uitumie kwenda kwenye home theater provided kwamba inatoa signal za audio basi itafanya. Tafuta audio cable 1 to 2pins
 
Sasa miracast nimeielewa. Just wireless hdmi. Ndo mana kuna wi fi kat ya simu na tv. Lakin tatzo la miracast screen lazima ikae on. Pia ukihamia kitu kungine km picha au sms au call au misic nayo inaonyesha hicho hicho.....mirroring! Sasa dawa ni chromecast naona ndo inakuwa poa. Inakuwa smart. Waweza kuendelea kuangalia kitu kwenye tv ikiwa sleep na kuokoa betri au kufanya mengine.Nitaitafuta mpaka.
 
chromecast zipo kibao, seems hujazielewa hizi wireless standard, kuna miracast, dlna, airplay nk kama unataka media tu ndio zionekane lakini vitu vyengine kama sms ukisoma visionekane kwenye tv tumia dlna search store app zake then dongle yako ibadili mode iwe dlna
 
Mkuu habari. Nina swali vipi nikitaka TV yangu iconnect na wifi ya nyumbani kwangu hiki kifaa kinafaa au mpaka ninunue doungle ya pembeni?
 
na assume tv yako haina wifi kabisa, hizo dongle zote hapo juu ni standard za wifi hivyo lazima wifi iwepo kwanza, ila dongle nyingi kati ya hizo zinatumia wifi zinavyotaka zenyewe, kwa lugha nyengine itaconect na hio wifi ya nyumbani ila hutaweza kufanya mambo yako ya kawaida ya wifi badala yake utatumia kustream tu vitu ulivyopangiwa na hio dongle.

kama unataka kutumia wifi kama ulivyoizoea tafuta dongle ambayo ina operating system kama vile android au windows, hizi zitakupa interface na uwezo mkubwa zaidi lakini bei vile vile inakuwa ndefu. kwa android maarufu ipo amazon fire stick na kwa windows ipo intel compute stick zote zinapatikana kama dola 30 hivi huko dunia ya kwanza.
 
Back
Top Bottom