Msaada:Taa ya Orange kwenye CPU

IamMrLiverpool

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
4,037
5,612
Wadau habari zenu,
Nina computer yangu tatizo nikichomeka waya wa cpu hapo hapo inajiwasha taa ya Orange
Sijui tatizo ni nini naomba ushauri wenu any idea please

Ahsanteni
 
Kwanza CPU haina taa ya orange ila kimazoea nimekuelewa!

Kwanza, hiyo husababishwa na umeme mdogo!

Pili, iwapo ni desktop ama tower PC, ndani kuna waya wa kutoka kwenye power supply kuingia kwenye motherboard inaitwa four pin connector, ikiwa loose kidogo pia hupelekea tatizo hilo!

Homa ikizidi muone daktari!
 
First aid safi,
 
Back
Top Bottom