Pancho panchilo
Senior Member
- May 18, 2017
- 121
- 95
Habari wanajamvini... Ni matumaini yangu nyote wazima na tunaendelea na harakati zetu za kujitaftia rizk! Kichwa cha habari kinajieleza, msaada wako tafadhali..
Shukran mkuuDownload program kutoka playstore au app store inaitwa WPS OFFICE. Ikishajaaa, nenda ktk icho kitabu then kifungue, itakuuliza option ya kufungulia icho kitabu, then select WPS office baada ya hapo utakuwa unaweza ku enjoy PDF, DOCX, PowerPoint's, spreadsheet. NATUMAI HAUTAKWAMA MKUU