Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu naombeni msaada wa kuformat flash aina ya samsung ina ukubwa wa 64GB na kila nikiweka kwenye pc inataka ni format nikifornat inagoma.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari. Nataka kupata uzoefu kwa wenye web servers (sio virtual) hapa Tanzania. Vipi swala la umeme, ukikatika web sites za watu na apps zingine mlizohost zinakuwa offline au mnatumia Generator...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kujua, ivi kwa nini Smart Phone inapoteza contacts? Leo nimeamka asubuhi majina zaidi ya 20 hayapo. Anayejua anisaidie tafadhari. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
975 Views
Infomation techonology Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada ninatumia LG f180S jana kwa bahati mbaya nilifanya restore kwa lugha ya kikorea pasipo kujua nimeiwasha imewaka vizuri ila shida kumejitokeza matatizo amabyo hayakuwepo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NILIKUA NABADILISHA WAYA UNAOTOKA KWENYE ADAPTOR KWENDA KWENYE PC ACCIDENTALLY NIKAWA NIMEKOSEA ALIGNMENT YA TERMINALS NILIVYO PLUG KWENYE PC PC IKAZIMA......NIKA FIX KOSA LAKINI KILICHOTOKEA NI...
0 Reactions
0 Replies
559 Views
JINSI YA KUTENGENEZA BOOTABLE FLASH BILA KUTUMIA SOFTWARE YOYOTE* mwanakwetu habari. Leo nimeona nishare nawe somo hili dogo but naamini litakuwa na nanufaa makubwa kwako na kwa wengine, baada ya...
8 Reactions
26 Replies
11K Views
Wadau nitumie njia gani ya kuweza kuidownload hii application ya azam TV kwa sababu nikipitia play store haikubali,naomba msaada. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
3K Views
jamani kwa mtaalamu ambaye anajiamini yupo nondo kwenye vba akuje tupatane anifundishe
2 Reactions
6 Replies
980 Views
Watu wengi hatupendi matangazo yanyayo jitokeza kwenye apps. Ili kuyaondoa uwa mwenye app anakutaka uilipie uwe premium user. Kwa android kuna apps kibao kama adblock na nyingine maana android ni...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Habarini......jamani me sina raha mwenzenu,kila niki search website ya kudownload series sifanikiwi. So far nimeshasoma threads nyingi zinazohusu website husika but nikiingia zinani direct tu mara...
3 Reactions
65 Replies
10K Views
Wakuu habari zenu, Laptop yangu ina processor ya i5-4200M 2.5Ghz Je inawezekana kuiongeza nguvu na kubadili graphic card? Maana mostly nasikia kwa Desktop na sii laptop. Wenye maujuzi karibuni
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Mambo vipi wana IT? Nimemaliza kufanya project yangu, ni website ina features mbalimbali ikiwemo forums. naomba mtazame kisha nitashukuru kusikia neno lolote la kujenga kutoka kwenu, kwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Americans are too smart to get rid of them aisee. Inasemekana Kampuni ya Google kupitia operating system yake ya android ambayo ndio the widely used smartphone O.S kwa sasa wanakusanya...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu naomba msaada wa kitaalam kuhusu sim za oppo!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina modem yangu ya Huawei mobile broadband yenye model no. Model: E173u-1 naitaji itumie line zote kwa matumizi ya internet.. shukran.. nipo dar es Salaam Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
759 Views
Naombeni mnijuze jinsi ya kudownload series za kikorea kwa kutumia smartphone au ambaye anajua website pa kuzipatia Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
609 Views
Habari wadau ni app gani ambayo unaweza kublock calls na sms? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina simu tajwa hapo juu ina app ya otg USB lakin nmeshindwa jinsi ya kucoppy au kumove nyimbo ktoka kwenye simu kwenda kwenye flash Nmejarbu kutmia Filela send to SD card through share imegoma...
0 Reactions
0 Replies
378 Views
Ninataka kujilipua kwa ku update simu yangu kwenda IOS 10.3.3 ni iphone 6 plus sasa wananiletea update ya Ios 10.3.3 Naomba ushaurii Niifanyaje hiyo update au itaniletea shida kwa wazoefu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom