Msaada: Memory card yangu inadelete mafile yote nikiweka

john johns

Senior Member
Feb 13, 2014
113
64
Wakuu..kama inavyoonekana hapo kwenye heading ni kwamba juzi nilinunua sd card ya 16gb na kuiweka na kwenye cm then nikacopy mafile yangu frm internal memory to sd card ila baada ya muda kidogo yale mafile yote yalifutika(nyimbo na picha)..
Mtumiaji wa Techno W5 je tatizo ni nini kwa anaejua tafadhali.

M.K
 
Kuna siku kidogo nilie. Nilikua nahamisha picha 2000 kutoka kwenye simu kwenda kwenye memory. Ndan ya dk 5 haikubaki hata picha 1.
 
Yani mwenyewe nyimbo zote picha zote imetafuna....kwaio yakwako ilipona au ulitupa.

M.K
 
mambo 3.
1. memory card ulio uziwa ni feki
2. simu yako haiwezi ku move ma file kwa usalama.
3. ma file hayajafutika, isipokua hayasomi. iweke memory card kwenye kompyuta kisha tazama kama yanasoma.
 
Wengi wakinunua memory card hawatest km ni nzima. Siku hizi kuna memory card feki nying sana mtaani.
Kabla ya kununua test kwanza, jaribu kucopy file zenye format tofauti tofauti km vile mp4, jpg, mp3 n.k ukishahakikisha ipo vizuri angalia na ukubwa wake pia.
Hata ukishanunua jaribu kucopy file na usithubutu kuhamisha km hauna uhakika sbb inaweza kukupotezea vitu vyako muhimu.
USHAURI
-CHOMOA MEMORY CARD KWENYE SIMU KISHA IWEKE TENA.
-KM BADO ANGALIA KUBWA WA MEMORY CARD, JE UMEPUNGUA? Km ndiyo tafuta simu ndogo inayotumia memory chomeka km bado hazionekani.
-Usiformat. Chomeka kwenye pc, nenda kwenye view juu kwenye pc, weka tik kwenye show hidden fille.
Km bado tafuta data recovery yyte. Website nenda softasm na piratecity zipo nying sana, pia ingia youtube kwa tutorial zaid.
 
Ngoja nijaribu hii.

Fake unaijuaje mkuu...coz iko located kua ni 16gb na kweli ata ukieka kw Cm anaonyesha kama 15.23gb ivi

M.K
 
Wengi wakinunua memory card hawatest km ni nzima. Siku hizi kuna memory card feki nying sana mtaani.
Kabla ya kununua test kwanza, jaribu kucopy file zenye format tofauti tofauti km vile mp4, jpg, mp3 n.k ukishahakikisha ipo vizuri angalia na ukubwa wake pia.
Hata ukishanunua jaribu kucopy file na usithubutu kuhamisha km hauna uhakika sbb inaweza kukupotezea vitu vyako muhimu.
USHAURI
-CHOMOA MEMORY CARD KWENYE SIMU KISHA IWEKE TENA.
-KM BADO ANGALIA KUBWA WA MEMORY CARD, JE UMEPUNGUA? Km ndiyo tafuta simu ndogo inayotumia memory chomeka km bado hazionekani.
-Usiformat. Chomeka kwenye pc, nenda kwenye view juu kwenye pc, weka tik kwenye show hidden fille.
Km bado tafuta data recovery yyte. Website nenda softasm na piratecity zipo nying sana, pia ingia youtube kwa tutorial zaid.
Ufafanuzi mzr sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tatizo alijaisha bado.

M.K
 
Mimi ni

Ninayo ya GB 63 nimeitumia almost 9month sasa ikaja kusema niiFORMAT na mafile yakawa hayakubali comand nimeiweka kawenye Modiem ipumzikea ni fanyeje
Hii yangu naona inakubali picha tu basi haikubali kingine asa wameniona mm ni photographer au ni ushenz gan huu.

M.K
 
Back
Top Bottom