Msaada wa mesage za whasapp

Msaada wa mesage za whasapp

tiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2015
Posts
441
Reaction score
259
Habari wana jf wenzangu naomba msaada wa mesage zinazoingia wasap kama nimezima simu masaa zaidi ya 12 au siku moja nikiwasha simu mesage zinazoingia wasap zinasema waiting for this mesage afu haziingii za walonitumia inabaki hiyohiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom