Namna ya kuangalia waliosoma text yako katika whatsapp groups

PETER 233

Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
38
Reaction score
67
Fuata hatua zifuatazo:
1.Najua unajua kuwa ukimtumia mtu text ktk inbox na akaisoma hupiga tiki mbili zenye rangi mkolezo.
2.Lakini ukituma ktk group hupiga tiki moja tu.
Sasa basi njia nyepesi kujua post yako imesomwa na wangapi ,unapaswa kufanya kifuatacho:

1.Anza kwa kupost,post yoyote ktk group lolote.
2.Subiri hadi itakapo piga tiki moja.
3.Upande huo huo wa tiki kwa maana upande wa kulia mwa post yako,tumia kidole gumba kugandamiza kama unataka kuifuta, yaani ikandamize moja kwa moja hadi option za kufuta,kufoward n.k zitokee
4.Option zikitokea relax kisha ktk hizo option angalia option yenye mduara ulio na herufi ai/(i) katikati basi ibonyeze hiyo option yenye mduara wenye herufi (i) katikati.
5.Sasa angalia hapo palipo andikwa "read by"utaona list ya member waliosoma post yako ktk group,tena utaona hadi muda halisi ambao kila member alipokuwa akisoma post yako.
 
sawa! mkuu kwa ufahamisho, ila sasa kwa samsung namba 4.badala ya ai/(i) inatokea option ya dots tatu zimebebana 🙂) bonyeza hiyo linakuja neno info bonyeza
 
Nadhan ungetaja na aina za simu kama ni indroid au window phone mkuu.....hapo utakuwa umetufungua wengi.
 
Fuata hatua zifuatazo:
1.Najua unajua kuwa ukimtumia mtu text ktk inbox na akaisoma hupiga tiki mbili zenye rangi mkolezo.
2.Lakini ukituma ktk group hupiga tiki moja tu.
Sasa basi njia nyepesi kujua post yako imesomwa na wangapi ,unapaswa kufanya kifuatacho:

1.Anza kwa kupost,post yoyote ktk group lolote.
2.Subiri hadi itakapo piga tiki moja.
3.Upande huo huo wa tiki kwa maana upande wa kulia mwa post yako,tumia kidole gumba kugandamiza kama unataka kuifuta, yaani ikandamize moja kwa moja hadi option za kufuta,kufoward n.k zitokee
4.Option zikitokea relax kisha ktk hizo option angalia option yenye mduara ulio na herufi ai/(i) katikati basi ibonyeze hiyo option yenye mduara wenye herufi (i) katikati.
5.Sasa angalia hapo palipo andikwa "read by"utaona list ya member waliosoma post yako ktk group,tena utaona hadi muda halisi ambao kila member alipokuwa akisoma post yako.
Mkuu naomba msaada jinsi ya kuanzisha mada.(nikitaka kuleta uzi niingie sehem gani?)msaada tafadhali
 
Fuata hatua zifuatazo:
1.Najua unajua kuwa ukimtumia mtu text ktk inbox na akaisoma hupiga tiki mbili zenye rangi mkolezo.
2.Lakini ukituma ktk group hupiga tiki moja tu.
Sasa basi njia nyepesi kujua post yako imesomwa na wangapi ,unapaswa kufanya kifuatacho:

1.Anza kwa kupost,post yoyote ktk group lolote.
2.Subiri hadi itakapo piga tiki moja.
3.Upande huo huo wa tiki kwa maana upande wa kulia mwa post yako,tumia kidole gumba kugandamiza kama unataka kuifuta, yaani ikandamize moja kwa moja hadi option za kufuta,kufoward n.k zitokee
4.Option zikitokea relax kisha ktk hizo option angalia option yenye mduara ulio na herufi ai/(i) katikati basi ibonyeze hiyo option yenye mduara wenye herufi (i) katikati.
5.Sasa angalia hapo palipo andikwa "read by"utaona list ya member waliosoma post yako ktk group,tena utaona hadi muda halisi ambao kila member alipokuwa akisoma post yako.
Na ukipost kitu kwa group halafu ukafuta.. Kitaendelea kuonekana na members ama kitafutika
 
Asante mkuu nimefanikiwa kuona hivyo. Sasa ngoja tuwakamate wale ambao tuna makundi ya kazi then ukituma ujumbe mtu anakuambia eti mimi sijaona!!!! Kumbe kasoma ila tu hataki responsibilities!!! Kamata kama kuku wa kuchinja.
 
Na ukipost kitu kwa group halafu ukafuta.. Kitaendelea kuonekana na members ama kitafutika
Kitaendelea kuonekana kwa members wengine,ni sawa na unapokuwa umemtumia mtu sms ya kawaida ukiifuta kwako yeye bado atakuwa nayo kwa kuwa imeshakuwa delivered
 
Back
Top Bottom