Nataka kununua kwa wale wataalamu, je naweza kupata Local TV za hapa Tanzania na nchi za jirani.? Kama kuna maelezo ya ziada sio mbaya ukiniongezea.
HDMI 1080P VGA DVB-T2 DVB-T TV Box AV to VGA...
Wakuu;
Nmefanya 'hard reset' kwenye Tecno W2 lakin shida imekuja kwenye 'gmail account verification' kwani 'previous gmail account' iliyokuwa signed in ni ya muda mrefu hvyo details zake...
Intel leo wamezindua generation ya nane ya CPU zao itakayojulikana kama kabylake refresh, kwa sasa wamezindua CPU za laptop tu, uzinduzi wa desktop na tablets utafuatia baadae.
Kwa wale...
Wahandisi wa Masuala ya Kompyuta nisaidieni.
Ninayo computer hapa DELL INSPIRON 2200 inatumia Windows XP. Kinachonitatiza ni kwamba najaribu kutumia simu aina ya Samsung ili kupata wireless kwa...
Shikamoo wakubwa wadogo zangu hamjambo. Wenzangu mambo
Me mgeni sana mitandao ya kijamii. Kuna mtu alisema unaweza kuweka whatsaap za no 2 kwa Simu moja.......
Anaye anielekeze jaman
Habari ya muda huu, naomba mnisaidie wana jamvi television haionyeshi wakati nimeconnect na dekoda ya DStv, shida inaweza kuwa nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za asubuhi wanajamvi? Naomba kueleweshwa ni battery saver gani kutoka play store inayoaminika zaidi kwa kulinda charge ya simu ya android? Nimejaribu BATTERY DOCTOR na DU BATTERY SAVER...
nipo na jelly ben tecno h5 baada ya kuiroot nikaona nitoe system apps ambazo huwa sizitumii na nyingine nikaamua kuzibadilisha
nikatoa phone call ya system nikaweka treu caller
pia nikatoa...
Wakuu naomba kuliza kwa yeyote aliewahi kununua kitu online kupitia kikuu web
Je ni changamoto zipi zinatokea kabula hujapata mzigo ulio nunua
Na je mzigo huchukua wastani wa siku ngapi hadi...
Habarini wakuu!
Simu yangu tajwa hapo juu imepata tatizo la IMEI Number, sijui chanzo ni nini ila imetokea tu IMEI Number imebadilika. Nimehangaika saana na rafiki yangu ila bado inasumbua...
Naomba mnisaidie namna ya kununua bidha kutoka online Amazon.Mi niko Tz na nina Visacard ya crdb. Jamani naomba msaada kwa wenye uzoefu anijuze ili ninunue bidhaa. Pia,nauliza kama bidhaa zao ni...
Habari wakuu,
Natumai mu wazima. Kwanza nitoe shukrani zangu za dhati kwa mkuu chief mkwawa kwa ule uzi wake kuhusu how to activate PayPal account. Kwa mimi nilishajiunga paypal kitambo simce 2012...
Salaam Wakuu,
Hii namba 0754125125 - JOSEPHINE KABUNGA) imekuwa ikijileta kwenye setting za simu yangu automatically kwa ajili ya ku-divert Calls when unreachable! Nikiiondoa baada ya muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.