mwanajamii26
Member
- Dec 16, 2014
- 58
- 13
RAM ni nini?
Hiki ni kifupi cha neno Random Access Memory, Hii ni hardware memory ambayo simu yako au computer uitumia ili kufatikisha utendaji wake, RAM uhusika na kazi ya kuzishikilia application ama software zako zote ambazo zinakuwa installed kwenye simu ama computer yako na pia kuzipa nafasi ya kufanya kazi pia. ukitaka kuprove hili jaribu kuchunguza ukubwa wa RAM yako ya simu kabla huja install app yoyote kisha chunguza tena baada ya kuwa umeinstall app ladhaa kwenye simu, hakika kutakuwa na utofauti katika ukubwa wa RAM yako.
Pia chunguza kabla ya kutumia app yoyote ile kisha fungua app kadhaa hasa zile zinazo tumia data mfano browser kisha baada ya muda linganisha napo utagundua kuna utofauti pia.
mfano wa RAM za kwenye computer ni huu ufuatao
RAM simu tumeshindwa kuzipata
Sasa kwa kuwa tunazungumzia kuhusu simu ngoja twende moja kwa moja kwenye lengo letu mahususi la leo
Inapotokea RAM ya sim yako ikapungua ukubwa basi kuna uwezekano mkubwa wa simu yako ikawa na uwezo mdogo wa kufanya kazi kwa mfano simu yako kuwa slow,
hivyo ili kuongeza ukubwa wa RAM ya simu yako fanya yafuatayo
1.Punguza widgets na ondoa live wallpapers
vitu hivi hufanya kazi chini kwa chini muda wote hivyo uchangia kupunguza ukubwa wa RAM ya simu yako
2.Disable applications
baadhi ya application hufanya kazi chini kwa chini hata kama hazitumiki kwa muda huo, hivyo basi kama app hizo hazina matumizi ya lazima kwa wakati huo unashauliwa ku zi disable ili kufanikisha hili fata hatua hizi kwenye picha
3.Toa animations
ili kuongeza ukubwa wa simu yako unatakiwa kuondoa animation kwenye simu yako, hii inaweza kufanywa kupitia developer options kwenye simu yako. kama option hiyo haipo nenda kwenye about phone kisha bonyeza build number mara tatu hadi sita ili kukuletea option ya developer
baada hapo angalia picha hii ili kudisable animation
4.Usipende kuinstall app zenye matangazo
App nyingi za bure kutoka playstore au kwenye mitamdao inayo toa huduma za kudownload app huja na matangazo. app hizi hazifai kwani hutumia sana RAM ya simu. hivyo epuka kutumia app ambazo zina matangazo
Mwandish: Mwanajamii