Pata website ya biashara(E-commerce) na M-PESA.. Itaunganishwa...

felijose

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
201
Reaction score
59
Kama kuna mtu binafsi au kampuni.inataka kuuza vitu online....... Nauwezo wa kumtengenezea website ya biashara(E-Commerce) na malipo ya products zake yakawa ni kwa njia M-pesa...... Karibuni.....
 
kama mtu anataka mpesa pekee unaweza integrate?
 
Yah.... Ninaweza... Ila hapo itategemea ulitumia language ipi... Au platform ipi...
 
Sorry buddy i'm really not very easily convinced, when you say "malipo yanakua kwa njia ya mpesa" you mean you will integrate this thing as some sort of a CRM, in a way that i can check my sales through the site au unamaanisha nini hapo? can you explain? And by language, which language can you comfortably integrate your m-pesa ninja skills with?

On the side note, if you have found the magic of integrating m-pesa, do u think you could create an API so people like me (programmers) can contribute in creating that API in other languages? ( i can do it in Ruby, so if you don't have the ruby version i can gladly contribute in creating the ruby API )
 
If you have any demo that we can see will be much appreciated, hasa mpesa integration
 
Huyu jamaa usikute anatumia system zile zile za kina kopokopo. Ila tu anataka kula pesa kwa kuicreate web + kuunga na system ya MPesa online payment ambayo tayari ipo na inafanya kazi. Wale jamaa api wameibana @c6
 
daaaaaaaaaaah
 
If you have any demo that we can see will be much appreciated, hasa mpesa integration

demo? in ICT? Seriously? no! you must be kidding, aren't you?
 
Beleive me.... Nakutengenezea na unapata malipo kwa m-pesa...... Aijalishi kama nimeoutsource hiyo m-pesa au nimetengeneza..... Cha muhimu ni kuwa ninaknowledge ya kufanya kitu hicho......
 
Demo nitaiweka hewani na nitawapa link hapa...
 
Tatizo nn?? Cha muhimu nimeunganisha na mpesa.... Aijalidhi kama na outsource au natengeneza mwenyewe.......
 
Wabongo bwana.... Ww leta kazi... Nikutengenezee kama ebay au amazon... Ila malipo yatakuwa kwa mpesa badala ya pay pal..... Sio kuanza kudought wakati hata ujajua uwezo wangu....
 
i hope your next comment post will have a link to the Demo ili tuache kudoubt, kuna wahuni wengi mjini kutuambia wanafanya hivi ukiwapa kazi wafanye wanaanza porojo, tudhihirihishie wewe sio mmoja wa hao wahuni, usijibu comment hii na porojo jibu na demo link.
 
Teh teh teh... your very curious mkuu...
 
Niko safarini... Nikifika nitarusha hewani hiyo demo...
 
Back
Top Bottom