kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
Wadau naombeni msaada namna ya kuiwezesha simu ya promotion ya VODA ambayo ina line mbili lakini Internet inakubali sim 1 ambayo ni VODA pekee lakini line2 ambayo inakaa ya mtandao wowote haina access ya internet.
Je, kuflash inasaidia au nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je, kuflash inasaidia au nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app