Jaman ambaye anasoftware ya kuaunlock modem ya airtell huawei e 173 anisaidie jamani
Finally Huawei E173 za Airtel zinaweza kuwa unlocked, Njia ni kama ya E153 Aliyoweka e2themiza sema kuna...
Habari zenu wadau? Naitwa dixon. Nina app yangu nataman sana kuiweka playstore lakn sababu ya garama nimeshndwa. Kw kuwa playstore ukisha lipia mara moja unaweza weka app nyng uwezavo nami naomba...
Hii inanisikitisha sanaaaaa, kwa website kongwe ya kitaifa yenye kutoa taarifa za kitaifa kuwekwa link ya Video za Mapenzi tena mchana kweupeee.
Hawa ma IT wao pesa yao ya mshahara wangenipa...
Habari, nauliza, ni vifaa gani ambavyo vinasaidia kufanya network ya Internet ya simu kuwa ya kasi zaidi? Maana huku niliko network ni E pekee, napata shida sana ku-access internet kwani...
Habari ya wakati huu wakuu...Samahani Mimi kijana makini na maskini nina Simu tajwa hapo juu ambayo wiki iliyopita ilikuwa ikistuck sana mpaka nakosa raha ya kutumia sasa kupita pita kwa rafiki...
Habari. Nilirekodi video kwa simu ya Samsung android. Video ina ukubwa wa 1.6 GB lakini badae ikaandika temp video na haichezi kwa simu hadi ntumie vlc kwenye PC.
Sasa swali langu ni kwanini...
Habari!wakuu kuna jambo nimekutana nalo ni geni kwangu na ndo nasikia na simu ya tecno camon C9 ilizima ghafla ikawa haingizi charge wala haiwaki bado inawarranty.
Nimefika carlcare hapa...
Salaam jf.
Nilikuwa nahitaji simple circuit kwa ajiri ya ku discharge capacitor na kupelekea led kuwa on kwa sekunde baada ya power kuwa off. Yaani pindi power itakapokuwa on capacitor iwe...
Salam wakuu,simu yangu galaxy note 4 haioneshi majina upande wa message hata kama mtu aliyenitumia message nimemsave kwa majina,message zote zinakuja bila contact name
Naomba msaada wa solution...
What's New ?
1. Added Valid Credit Card Number generator.
Generates randomly Credit bank cards of Tanzania (CRDB Bank, NMB TZ, NBC TZ, Stanbic Bank TZ, Standard Chartered Bank LTD, EXIM Bank...
Wadau kuanzia tarehe ya Leo tunatoa offer ya hosting,gharama ni 40,000 tu kwa package ya mwaka mzima, kwa yeyeto anayehitaji aje inbox au apige simu 0687 535650
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini.
Nimeletewa notification ya kuupdate operating system yangu aina ya Tecno lakini kila niiruhusu inaniletea ujumbe flani kama mnavoona kwenye screenshots. je nifanyaje ili niweze kui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.