Msaada: Browser kwenye simu yangu inanasa

Msaada: Browser kwenye simu yangu inanasa

MR MAJANGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2014
Posts
3,526
Reaction score
10,820
Salaam wana jukwaa!!!, Nina simu aina ya microsoft lumia 640XL sasa hii simu sasa hivi ina tatizo la kila ninapoperuzi humu jf au kufungua habari yeyote ambayo itahitaji nitumie browser basi nikifungua ikipita kama dakika tatu inaanza kunasa au ukurasa unafunguka nusu na nusu nyingine inaweka rangi tu, au inajifunga inajirudisha menu je tatizo ni nini?
 
Jaribu kuuninstall hiyo progam na uinstall tena. Kama itashindikana tumia browser
tofauti unayoitumia sasa
 
Back
Top Bottom