Burton86jm
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 616
- 183
Ni wiki sasa na siku kadhaa hamna matangazo katika ving'amuzi hivi continental na ting sasa je? Kuna namna nyingine ya kupata FTA channels kwa receiver za mpg4 na HD??
Mkuu hilo limeathili almost dunia nzima, inavyosemekana king'amuzi cha continental, ting na baadhi yao wanaotumia satellite ya AMOS, hiyo satellite imeshambuliwa na magaidi ndo maana huduma imekata mazima,kwa mfano continental walisema ni tarehe za mwanzo mwa December watakuwa wamehamia satellite nyingine though bado mpaka sasa,tatizo lingine kubwa ni watoa huduma wa hivi ving'amizi yani hawakutoa taarifa yoyote yani nimefanya kuwapigia simu ndo kuniambia tatizo ambalo lipo inasikitisha sana kwa maana service they delivery isnt at right quality especially in term of customers care , walipaswa kutoa taarifa wenyewe sio baada ya kuwapigia, wanapaswa kuwa karibu a wateja wao kuwapa taarifa kwa yanayo tokea na kuwapa matumaini na uvumilivu wateja wao na hata kutoa time frame i mean muda kwa makadirio kuwa tatizo litakuwa solved kwa wakati gani na kwa asimilia ngapi, continental mnatuangushaNi wiki sasa na siku kadhaa hamna matangazo katika ving'amuzi hivi continental na ting sasa je? Kuna namna nyingine ya kupata FTA channels kwa receiver za mpg4 na HD??
Ni wiki sasa na siku kadhaa hamna matangazo katika ving'amuzi hivi continental na ting sasa je? Kuna namna nyingine ya kupata FTA channels kwa receiver za mpg4 na HD??
toxic9 acha kupotosha . AMOS5 imepotea, period.
hizo habari za satelite kushambuliwa na magaidi umezitoa wapi? au ni viroba vinaongeaUnachobisha nini sasa?usibishe basi kitu usichokijuwa,baada ya hiyo satellite kuwa attack ni muda ndio na kwa ving'amuzi vyote vinavyotumia satellite hiyo kurushia matangazo vimekata na kweli ni muda sasa hawapatikani kama continental nk
Wenye dstv ni mpeto wa kutakata,magaidi hawajashambulia.
Naona nijinsi gani mawazo yako yalivyo,hizo habari za satelite kushambuliwa na magaidi umezitoa wapi? au ni viroba vinaongea
Eti sat imeshambuliwa satelite magaidi
Mkuu achana nae huyo anaropoka tu anafikiria yupo gengeni hapaKushambulia setilite ni rahisi hivyo kama kutungua limau hizo rocket za kufika huko nan atagharamia ,
Eti sat imeshambuliwa satelite magaidi
Israeli Spacecom said it lost contact with the Amos-5 satellite on Saturday morning and has been unable to reconnect with it since.toxic9 acha kupotosha. AMOS5 imepotea, period.
Husomeki hata kupanga sentence hujuwi