Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Ni Jana tu usiku nimeshtukia simu imepoteza network kwa line zote mbili na ghafla zimekuwa inactive kote ila inasoma line ya voda ambayo its not my favourite. Naombeni msaada napata kitu kama...
0 Reactions
1 Replies
901 Views
JF Hizi ni hatau chache za kufuta moja moja akaunti ya instagram. Tazama.
1 Reactions
2 Replies
8K Views
Nina Hard disk 2 zote 500GB@ wapi nitapata mtaalamu wa kurekebisha hazi somi japo zina zunguka vizuri. Moja ina soma kidogo japo haionyeshi ile space buffer ukijaribu ku format haikubali...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nahitaji Majibu Unique Wakuu Kama Ku Google nisha Google Sana Na Video za YouTube nimeziangalia Sana nnaombeni Msaada Inaonesha Imebaki na 1.61GB kati ya 98GB Cha Kushangaza FOLDER la USER...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Msaada wakuu natumia hii simu lakini inaniacha hoi kwenye jambo moja tu, nikidownload app inachagua kuzifungua zingine zinafunguka vizuri zingine zinagoma kabisa inaandika unfortunately show box...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anzisha Biashara ya Website Hosting Kwa mtaji usiozidi Tsh 150,000/= Tanzania Website Experts inakupatia vifuatavyo;- Reseller Hosting Package kwa ajili ya kuuza hosting space kwa wateja wako...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kusaidiwa jinsi ya kufomat simu, nimesahau pattern. Samsung j7 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
whats arae trick to get vod*c*m bandles
0 Reactions
0 Replies
536 Views
Ndugu wana jf habari zenu, kichwacha habari chahusika naomba mnisaidie nataka kununua simu sumsung galax s6 ya 2015 au sony experia z5 min, ipi ni bora katika matumizi hasa kwenye ram, utunzaji wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
msaada wadau nilijaribu kuiflash ilikuwa na password baada ya kumaliza naiwasha inaishia kwenye logo
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani simu yangu inatumia laini ya tigo tu anayeweza kunisaidia itumie laini zote Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu nina simu aina ya Sony Xperia Lt 30p tatizo lake ukiitoa kwenye chaji inazima, na ukiiweka kwenye chaji inaonyesha imejaa kwa 100%. Na ukiitoa kwenye chaji kabla hujaizima ikizima yenyewe...
1 Reactions
5 Replies
917 Views
Habari zenu wadau, nilikuwa naitaji kufanya dual boot kwa kuistall android OS alongside window, Hivyo mwenye iso file ya Adroid au download link naomba anitumie.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina hamu ya kumiliki hicho kisimu je kwa MWANZA kuna sehemu gani wanauza Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nimepita kwenye maeneo ya YouTube nikakutana kuwa huko Mto Ruvu ameonekana ng'ombe wa buluu. Kweli kwenye footage ni wa buluu lakini sijapokea moja kwa moja kuwa hiyo rangi ni asilia mpaka mwenye...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Simu yangu inatatizo la kujzma the inawaka inaonyesha logo then inaganda inazma tena and the issue goes on repeatedly mpaka nifanye hard reset nimepeleka kwa fundi akainstall new rom but the...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Simu yangu nikiingia kwenye gallery vitu vyote vilivyokua kwenye memory card vimefutika,na badala yake naoneshwa kua SD card imeharibika,naomba mwenye kujua jinsi ambavyo naweza kuirudisha memory...
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Wakuu niliweka phone security kwenye ka simu kangu katochi Nokia 105 sasa nimesahau password na inaomba password. Msaada jinc ya kuifungua nakapenda sana ka simu kangu. Cc Chief-Mkwawa Sent...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu, naamin humu kuna wataalamu wengi wa mambo ya websites kuliko mimi Nimetengeneza hii website yangu ( www.climaxresorts.com) kwa ajiri ya mteja wangu , ninaomba kupata ushauri...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari za mchana wanajukwaa. Tafadhali naomba msaada wa kuset printer aina ya Canon 2545 imagerunner Nimefanya network tayari, printer na other devices kama computer zinaonana na nikiping...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom