Mwenye kujua ile app ya whatsapp ya siri

Mwenye kujua ile app ya whatsapp ya siri

tagamwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
342
Reaction score
238
Kipindi cha nyuma kuna uzi uliletwa jinsi ya kutumia whatsapp ambayo inaficha vitu vingi kama, mtu kutojua kama msg yake aliyokutumia imesomwa, kutojua mara ya mwisho umeingia mda gani, na mengineyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka setting au aina ya whatsapp?

Anyways tafuta GB Whatsapp version 5.80 ndio current version, utakutana na settings zaidi ya 100,tafuta utakayoona inakufaa kucustomise
 
Back
Top Bottom