Baada ya kumiliki tecno W5LTE, Nimeamini hakuna simu bora kama tecno

Tecno sio mbaya kwa lighter user
Ila kwa wale heavy user wenye apps nzito zito na magame yenye mb kubwa lazma watumie mizigo inayojielewa kama samsung,Xiaomi,huawei or htc zenye specification kubwa kuanzia processor,RAM mpaka Storage.
nilikuwa ™tecno now nimehamia ™samsung full burudani
 
Tecno sio mbaya kwa lighter user
Ila kwa wale heavy user wenye apps nzito zito na magame yenye mb kubwa lazma watumie mizigo inayojielewa kama samsung,Xiaomi,huawei or htc zenye specification kubwa kuanzia processor,RAM mpaka Storage.
nilikuwa tecno now nimehamia samsung full burudani
Sumsung gani full burudani mkuu? Nimezitumia sana sumsung bado sana kwa techno
Na techno akiweza kubadili processor atoke huku kwenye mediatek hapo sumsung atakimbizwa kabisa

Stack ipo kwa android zote

Hoja yako isimame kwenye processor tu
Hapo nampa sumsung

Ila android ikikaa zaidi ya mwaka lazima stack nyingi na ni bora techno low price thus wanatumia mediatek VIP sumsung bei kubwa with nothing brand tu
 
Heavy user yoyote awezi sifia tecno, nimezitumia sana, ila mashine haziwezi mizigo mikubwa ita stack mpk utie adabu. Note nimetumia tecno zaidi ya 10
Unadhani techno akiachana na mediatek huyo sumsung atamkuta?
 
Back
Top Bottom