Xiang Hao
Senior Member
- Nov 19, 2016
- 126
- 98
Habari ndugu developer wa apps za android mimi nipo njiani kumalizia website yangu ya entertaiment so nahitaji app lakini sina pesa ya kulipia ila nina source code za app zaidi ya moja, kama kuna mtu aneweza kukubaliana nami aje PM nampatia source code mbili bure nami ananiundia app moja kwaajili ya website yangu.