Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu nawasalimu...wakuu nauza kioo cha LG4 NA LG3 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
749 Views
Kuna TV ya chogo inasumbua. Ilikuwa inatumia muda mrefu mpaka iwake tena kwa kuigongagonga tunatatua vip jamani? Samahani kwa kuuliza hapa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
11K Views
Wakuu na tablet yang hapa imeharibika display naomba kwa yeyote ambaye anafanya business kama hyo naomba nifaham ni bei gan? na kama inawezekana tufanye business. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
788 Views
habari ya jioni wakuu ..kama madaa inavyojieleza hapo juu..ni kwamba tv yangu ya samsung nikiiwasha in blink sanaa wala haitizamiki nimewapelekea mfundi kazaaa lakini imewashindwa kuitengrneza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mambo vipi ndugu wanaJF, Nimefungua kampuni yangu ya kilimo lakini nahitaji kupata program mahiri kwa ajili ya kutrack business yangu. Please naomba msaada kama kuna mtu anajua program yoyote...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenye hiyo software naomba ajitokeze kuna kazi nahitaji kufanya kwa kutumia hiyo accounting software.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wakuu naomba kuuliza eti ni accounting package ipi inafaa kutumiwa na kampuni ya ujenzi,mfano ujenzi wa reli na barabara na ujenzi mwingine mkubwa. Msaada wa haraka plz.
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Ivi inawezekana kuunganisha namba ya mtu mwingne na yakwangu ili call na mesej zake nizipate Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu?. nimekuja tena kuomba msaada nikiamini hapa hakuna linaloshindika. Nilikuwa natumia simu ALCATEL 5023F na sasa natumia TABLET MIN7 VFD110(zote ni za vodacom) tatizo la hii table ni...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Washington, Marekani wamegundua njia mpya ya kupima saratani ya kongosho na magonjwa mengine kwa kutumia App iliyopewa jina la BiliScreen ambapo mgonjwa atakuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
TOUCH SCREEN INAUNGANISHA UMEME WA BINADAMU NA WA COMPUTER. Ndio, moja ya teknolojia ya touch screen inatumia umeme uliomo ndani ya mwili wa binadamu kugusana na umeme uliomo ndani ya chombo...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Nina memory card yangu ya gb8 nikijaribu kufuta kitu chochote inaniambia write protected hata nikitaka kuingiza kitu chochote, je nifanyeje ili kuondoa hiyo msg. Na iweze kuwa formated na kuingiza...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi si mpenzi wa story zisizoisha kwenye makundi ya Whatsap, sasa hata hivyo kuna baadhi ya magroup ukijitoa unaonekana mkorofi. Nilikuwa naomba utaalamu wa kuweza kuwa na magroup lkn niwe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natumia techno J5, tatizo langu nashindwa kuangalia video JamiiForums. Nifanyeje kupata suluhu ya tatizo langu? Natanguliza shukrani kwenu wakuu
0 Reactions
1 Replies
825 Views
Wakuu naimani week end ipo vizuri Ndugu yangu katoka Kenya kaniletea zawadi ya dvd player blueray, hii Dvd ina cable ya DHMI, Tv yangu ina support DHMI, Kila nikiunganisha DHMI Cable angalau...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya Samsung kufanya manufacturing ya soc za apple kuanzia processor aina ya APL0098 mnamo mwaka 2007. APL0278 mnamo mwaka 2008. APL2298 mwaka 2009 katika iphone 3G. Na baadaye A series kwa...
5 Reactions
68 Replies
7K Views
Kama kichwa cha habari kinavosema unawezaje toa gmail account kwenye simu ambayo inadai gmail account ambayo iliyokuwemo baada ya kuifrash simu Msaada tafadhal maana nina simu inadai gmail...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu. Napenda kufaham ni jinsi gani naweza kulipwa kupitia #youtube. Nimezoea kusikia kuna watu wana earn money through #youtube sasa napenda kufaham.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari. Naomba nielekezwe jinsi ya kuweka signature yangu kwa kutumia computer. Mfano nataka nikiandika barua ya kazi na kuapply online sehemu ya kusaini kwa mkono nisaini moja kwa moja...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Salamu wakuu , Nina Stationary yangu sehemu nimepata changamoto Mbili kwenye pc , pc moja Ina install software/drive za Epson printer w-345 lakini inakuwa incomplete hivyo siwezi ku print Pc...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom