Mi nahitaji pirated mkuugenuine or pirated?
Mkuu hiyo makitu ninya kazi kweli kweli sasa hizo mambo za pirated itakuja kukuletea figisu wakati umeshaweka data muhimu utapiga kelele humu, kanunue cha ukweli mwana!Mi nahitaji pirated mkuu
quickbook zinauzwa ghali sana, asilimia 99 ukinunua kwa wabongo utaekewa pirated, maana bei zao haziendani na bei halisi.
1. nunua mwenyewe site yao ya quickbook
2. pirate mwenyewe au tafuta mtu akusaidie
au alternative tafuta open source software, zinakuwa ngumu kidogo ila ni free, hulipii kitu.
nazifahamu vizuri sana hizo quickbook na si vyema kununua version ya zamani ya software yoyote ile sababu haitakuwa na support na inamiss feature nyingi tu, pia security itakuwa ni tete.Ukweli Quickbook sio ghali kama unavyosema inategemea na ya mwaka gani mimi ninazo inayoanzia Tshs 400,000/ mpaka lakin nane na zaidi ya hapo na vile vile kuna online version ambayo unalipia kila mwezi kuanzia tshs 40,000/ na kuendelea. Karibu upate maelekezo kutoka wa watu sahihi.