Msaada: Tablet inakera

Msaada: Tablet inakera

Pawaga

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
1,349
Reaction score
1,011
Habari wakuu?.
nimekuja tena kuomba msaada nikiamini hapa hakuna linaloshindika. Nilikuwa natumia simu ALCATEL 5023F na sasa natumia TABLET MIN7 VFD110(zote ni za vodacom)
tatizo la hii table ni space yaan uki-instal apk chache tu ishajaa,nkanunua sd card gb 16 lkn TATIZO nashndwa jinsi ya kuweka APK ktk sd card. Msaada nifanyeje ili niweze kuinjoi maana imekuwa kero kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja wataalam waamke ila uwe mvumilivu kwaid majibu utakayopewa.
 
kuna app ya kulipia inaitwa link to sd ipo playstore jaribu kuitafuta. Au kama huna hela ya kulipia fanya hivi kuipata hiyo app.
1]download app inaitwa appvn (haipo playstore itafute kawaida kwa kutumia browser yako)
2]install hiyo app na login kwa kutumia either fb au g+

kama umeroot simu yako endelea na hatua ifuatayo.

3]ingia playstore then nenda kwenye top paid apps then scroll down hadi uikute hiyo link to sd. then ifungue then chini utaona kialama cha kushare
4]click kwenye share then select share with appvn
5]then download and install then ukilaunch inajieleza yenyewe.

kama hujaroot.

igiaplaysstore then itafute hiyo app then check developer wake. Baada ya hapo launch appvn na usearch hiyo app kwa jna plus developer (ili kuwa na uhakika kuwa unainstall app iliyokusudiwa). Zikija nyingi just point out ya yule developer unayemtaka install then you are done
 
hapo ushamchanganya kabisa ingawa maelezo ni murua and very satisified kwa mtumiaji...
 
hapo ushamchanganya kabisa,ingawa maelezo yako yapo murua sana and very satisfying kwa mtumiaji,ila kwa swali lake,hili jibu litageuka kuwa swali jingine gumu kwake,ngoja tusubiri tuone...
 
kuna app ya kulipia inaitwa link to sd ipo playstore jaribu kuitafuta. Au kama huna hela ya kulipia fanya hivi kuipata hiyo app.
1]download app inaitwa appvn (haipo playstore itafute kawaida kwa kutumia browser yako)
2]install hiyo app na login kwa kutumia either fb au g+

kama umeroot simu yako endelea na hatua ifuatayo.

3]ingia playstore then nenda kwenye top paid apps then scroll down hadi uikute hiyo link to sd. then ifungue then chini utaona kialama cha kushare
4]click kwenye share then select share with appvn
5]then download and install then ukilaunch inajieleza yenyewe.

kama hujaroot.

igiaplaysstore then itafute hiyo app then check developer wake. Baada ya hapo launch appvn na usearch hiyo app kwa jna plus developer (ili kuwa na uhakika kuwa unainstall app iliyokusudiwa). Zikija nyingi just point out ya yule developer unayemtaka install then you are done
Umesema haipo play store lkn tena hapo mwishon unasema kama cjaroot simu niingie play store kuangalia developer wake: hapo cjaelewa mkuu.
Asante pia kwa msaada wako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema haipo play store lkn tena hapo mwishon unasema kama cjaroot simu niingie play store kuangalia developer wake: hapo cjaelewa mkuu.
Asante pia kwa msaada wako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
appvn haipo playstore but link to sd ipo na ndio nasema uichek playstore
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom