mauRT
Member
- Mar 7, 2017
- 71
- 43
Mambo vipi ndugu wanaJF,
Nimefungua kampuni yangu ya kilimo lakini nahitaji kupata program mahiri kwa ajili ya kutrack business yangu.
Please naomba msaada kama kuna mtu anajua program yoyote affordable kwa online business track kama accounting, stocking, loss and profit track.
Nitashukuru....