Accounting package gani ni nzuri kutumiwa kwenye kampuni ya ujenzi wa reli na ujenzi wa barabara?

IKISU

Member
Jan 2, 2012
64
13
Habari wakuu naomba kuuliza eti ni accounting package ipi inafaa kutumiwa na kampuni ya ujenzi,mfano ujenzi wa reli na barabara na ujenzi mwingine mkubwa. Msaada wa haraka plz.
 
Habarini wakuu?

Eti ni Accounting package gani ni nzuri kutumiwa kwenye kampuni ya ujenzi wa reli na ujenzi wa barabara na ujenzi mwingine mkubwa
Msaada plz.
 
Ha!ha! Wamekuajiri kama Accountant na Kichwani Zero

Hapo Tally inawahusu hata Quickbooks!
 
Habari wakuu naomba kuuliza eti ni accounting package ipi inafaa kutumiwa na kampuni ya ujenzi,mfano ujenzi wa reli na barabara na ujenzi mwingine mkubwa. Msaada wa haraka plz.

Ndugu "IKISU" Accounting package zipo nyingi zinazoweza kufanya kazi hizo, kwa mazingira rafiki kabisa ya kitanzania twaweza kushauri utumie QuickBooks badala ya Tally, kwa nn tunakushauri hivyo;

1. QuickBooks ni rahisi kutumia kwa mtu yeyote yule hata kama si mwasibu. Ili mradi tu aweze kujua kusoma na kuwa na uelewa wa mambo.

2.Ni rahisi sana kuelezeka, hata kwa siku mbili au tatu waweza kuelekezwa na kumastar kuanzia kazi.

3.Inatoa report nzuri sana, kulingana na software zingnine,na matengenezo yake yana njia zinazo kupelekea kufika unakotaka kufika.

4.Ina uchaguzi wa ni aina gani ya kampuni yako inafanya, kitu kinacho kurahisishia kutengeneza accounting chart yako vizuri kulingana na maitaji yako.

5.Intergration yake na software zingine kama Excel inafanya vzr sana

6. Inaweza kuwa accessed hata kwenye mobile, mkuu sehemu popote alipo anaweza pata taarifa za kampuni yake kiganjani.

7.Tally ni kama manual car, lkn Quickbooks ni Automatic can,unawasha unakanyaga mafuta.....

Ni machache hayo, faida ni nyingi mno na pia kuna hasara zake pia usisahau.
Kwa Maelezo zaidi kuhusu hizi software.

Tupigie: 0717 71 85 19 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Karibu sana.
Ukijua, unaleta utofauti na kuweka ufanisi katika kazi zako.
 
Nimekupenda bure. Hata kama sio mm nilieuliza na hiyo sio taaluma yangu lkn umejibu vizuri sana nadhani mtoa mada atafurahi sana. Nimejifunza kitu toka kwako kuwa pale unapoweza kutoa msaada fanya hivyo. Wenzetu wanaendelea kwa sbb ya kusaidiana. Kizuri kula na mwenzio.
 
Ndugu "IKISU" Accounting package zipo nyingi zinazoweza kufanya kazi hizo, kwa mazingira rafiki kabisa ya kitanzania twaweza kushauri utumie QuickBooks badala ya Tally, kwa nn tunakushauri hivyo;
1. QuickBooks ni rahisi kutumia kwa mtu yeyote yule hata kama si mwasibu. Ili mradi tu aweze kujua kusoma na kuwa na uelewa wa mambo.
2.Ni rahisi sana kuelezeka, hata kwa siku mbili au tatu waweza kuelekezwa na kumastar kuanzia kazi.
3.Inatoa report nzuri sana, kulingana na software zingnine,na matengenezo yake yana njia zinazo kupelekea kufika unakotaka kufika.
4.Ina uchaguzi wa ni aina gani ya kampuni yako inafanya, kitu kinacho kurahisishia kutengeneza accounting chart yako vizuri kulingana na maitaji yako.
5.Intergration yake na software zingine kama Excel inafanya vzr sana
6. Inaweza kuwa accessed hata kwenye mobile, mkuu sehemu popote alipo anaweza pata taarifa za kampuni yake kiganjani.
7.Tally ni kama manual car, lkn Quickbooks ni Automatic can,unawasha unakanyaga mafuta.....

Ni machache hayo, faida ni nyingi mno na pia kuna hasara zake pia usisahau.
Kwa Maelezo zaidi kuhusu hizi software.
Tupigie: 0717 71 85 19 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Karibu sana.
Ukijua, unaleta utofauti na kuweka ufanisi katika kazi zako.
Mkuu mnafundisha hizo accounting package..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu sana ndugu "Inamonga", tunafundisha na kutoa ushauri ili kufikia malengo yako. Sisi kwetu si pesa tuu bali mahitaji ya muhusika yatimie na aweze kujikwamua na kuongeza ustadi na weledi katika kazi zake. Ufanisi wa kazi huja pale mtu husika anapojua ni nini anafanya tena kwa usahihi mkubwa.
Tupigie: 0717 71 85 19 | 022 270 1320
tuandikie: training@comskills.co.tz
Tupo Makumbusho Stand, gorofa ya pili.
Asante na karibu sana.
"We train, You change the World"
 
ndugu zangu wana JF naombeni mnisaidie afisa tarafa anaitwaje kwa kingereza/
 
Ndugu "IKISU" Accounting package zipo nyingi zinazoweza kufanya kazi hizo, kwa mazingira rafiki kabisa ya kitanzania twaweza kushauri utumie QuickBooks badala ya Tally, kwa nn tunakushauri hivyo;

1. QuickBooks ni rahisi kutumia kwa mtu yeyote yule hata kama si mwasibu. Ili mradi tu aweze kujua kusoma na kuwa na uelewa wa mambo.

2.Ni rahisi sana kuelezeka, hata kwa siku mbili au tatu waweza kuelekezwa na kumastar kuanzia kazi.

3.Inatoa report nzuri sana, kulingana na software zingnine,na matengenezo yake yana njia zinazo kupelekea kufika unakotaka kufika.

4.Ina uchaguzi wa ni aina gani ya kampuni yako inafanya, kitu kinacho kurahisishia kutengeneza accounting chart yako vizuri kulingana na maitaji yako.

5.Intergration yake na software zingine kama Excel inafanya vzr sana

6. Inaweza kuwa accessed hata kwenye mobile, mkuu sehemu popote alipo anaweza pata taarifa za kampuni yake kiganjani.

7.Tally ni kama manual car, lkn Quickbooks ni Automatic can,unawasha unakanyaga mafuta.....

Ni machache hayo, faida ni nyingi mno na pia kuna hasara zake pia usisahau.
Kwa Maelezo zaidi kuhusu hizi software.

Tupigie: 0717 71 85 19 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Karibu sana.
Ukijua, unaleta utofauti na kuweka ufanisi katika kazi zako.
Safi sana mkuu na mm nimeguswa nitakupigia niongeze ujuzi ila usinipige bei sana so unajua tupo bongo bahati mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio software inabidi iwe consistent na standards za international accounting standards 11 (construction contracts) na 18(revenue recognition), Ukiipata hiyo software itayoweza kustick na hizo standards za wahasibu ume win, Ila kama unazielewa hizi standards hata excel itafaa.
 
Back
Top Bottom