How to remove gmail account

Benfamous

JF-Expert Member
Oct 10, 2016
484
374
Kama kichwa cha habari kinavosema unawezaje toa gmail account kwenye simu ambayo inadai gmail account ambayo iliyokuwemo baada ya kuifrash simu

Msaada tafadhal maana nina simu inadai gmail account na hatujui ata gmail account iliyokuwemo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya factory reset
afanye nini!? hii kitu inaitwa FACTORY RESET PROTECTION (FRP) na mbaya zaidi google huwa wanaupgrade security patch kila kukicha. Na kibaya zaidi hizi simu za android ili ushindwe kubypass FRP zinakuja na keyboard tofauti na ile ya google kwenye default setting. Kifupi kama simu sio yako kairudishe kwa mwenye nayo.
 
siku nyingine kama simu sio yako au umekwiba format kwa kupitia ndani kwenye settings, ukifanya hard reset eti kisa umekuta ina pin/password/patern imekula kwako inakuwa haina tofauti na vitoy vya watoto...
 
afanye nini!? hii kitu inaitwa FACTORY RESET PROTECTION (FRP) na mbaya zaidi google huwa wanaupgrade security patch kila kukicha. Na kibaya zaidi hizi simu za android ili ushindwe kubypass FRP zinakuja na keyboard tofauti na ile ya google kwenye default setting. Kifupi kama simu sio yako kairudishe kwa mwenye nayo.
Nilishaifungua mpaka ikawa sawa kabisa na naweza kupiga simu na kupokea simu ila tatzo linakuja siwezi weka account nyingine ya gmail coz inaitaji ile iliokuwemo hapo awali ndo niweze ingiza hii mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishaifungua mpaka ikawa sawa kabisa na naweza kupiga simu na kupokea simu ila tatzo linakuja siwezi weka account nyingine ya gmail coz inaitaji ile iliokuwemo hapo awali ndo niweze ingiza hii mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
kama umeinunua kwa mtu mtafute akuwekee hiyo account then weka yako halafu delete yake tena.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom