MSAADA WINDON

VIKWAZO

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,899
580
Salamu wakuu ,
Nina Stationary yangu sehemu nimepata changamoto Mbili kwenye pc , pc moja Ina install software/drive za Epson printer w-345 lakini inakuwa incomplete hivyo siwezi ku print
Pc nyingine inaniambia Kama hapo Chini kwenye picha

16690b5937a8f567db5de495f70eddc2.jpg


Naomba msaada mwenye kuweza haya matatizo, pia Kama kuna mtu anauza keyboards na mouse za pin ( sio USB ) natafuta set moja, nataka orginal hata Kama used Maana nimepigwa sana karikoo
Mawasilino bunyinyiga2014@gmail , Niko dar ukonga
 
Hiyo message inamaanisha ufanye repair ya windows yako... kuna file zinamiss!!

Unaweza kufanya hivyo ukiwa na cd au flash bootable ya window.
 
Jaribu kuweka cd au flash yenye bootable window halafu bonyeza R km inavyosema.
 
Back
Top Bottom