Msaada: TV ya chogo inasumbua kuwaka

Msaada: TV ya chogo inasumbua kuwaka

Inawezekana kuna loose wire mahali fulani ebu peleka kwa fundi.
 
Kuna TV ya chogo inasumbua. Ilikuwa inatumia muda mrefu mpaka iwake tena kwa kuigongagonga tunatatua vip jamani? Samahani kwa kuuliza hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Capacitor kwenye power supplier ina matatizo.
Pia kuna board za hizo tv zinaitwa universal zina fit katika tv nyingi za kisogo unaweza nunua na kuweka ila kuwa makini na mafundi.
547050599_541.jpg

Universal board for crt tvs.
Price nadhani ni kama 40k Tshs
Tatizo kubwa hapo ni capacitors zilizopo kwenye power supplier hivyo fundi anaweza kuanza pima moja baada ya nyingine akikuta mbovu anaweza replace.
Au anaweza weka board mpya.
 
Back
Top Bottom