Write protected

Write protected

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Nina memory card yangu ya gb8 nikijaribu kufuta kitu chochote inaniambia write protected hata nikitaka kuingiza kitu chochote, je nifanyeje ili kuondoa hiyo msg. Na iweze kuwa formated na kuingiza kitu kingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ipo kwenye simu au card reader



kama card reader kuna kiswitch pembeni press iende upande mngine hicho huwa kinaleta hiyo issue ya write protected CARD READER kama ipo kwenye simu sijui chochote.

Sent from Siemens Social Phone
 
Kama n simu hyo jaribu ku format kwa kutumia linux ie UBUNTU OS nahc ni virus


Sent from Siemens Social Phone
Hii ndio njia,hao ni virus mimi niliwaokota toka pc moja mpaka leo hizo flash hazina kazi

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
 
Mimi ilinitokea ila sikuumiza sana kichwa nikayumia card reader nyingine ikakubali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom